Mwigizaji Manaiki Sanga Akata Shauri, Aamua Kupeleka Posa Kumuoa Jack Wolper

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji wa Bongo Movies Manaiki Sanga Amefunguka kuwa mwaka huu Ameamua kukata shauri na kuhakikisha anapeleka Posa kwa wazazi wa Jack Wolper ili kumuoa Jack , Manaiki Sanga amemwagia sifa kede kede Jack Wolper na kusema ni mwanamke mrembo sana na yupo tayari kufanya lolote ili ampate labda tu tatizo kubwa liwe kwake lakini hawezi kubadilisha nia yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KAZANA MUNGU NI MWEMAANAWEZA KUWA WAKO!!!!

    ReplyDelete
  2. Umeona anafaa kua mama watoto wako? fanya bidii duniani kila mtu na wake.

    ReplyDelete
  3. Jipe moyo utashinda

    ReplyDelete

Top Post Ad