Ndoa ya Petit man na Mdogo wa Diamond Yajibu..Esma Aomba Kupumzika Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwaka Jana Tulishuhudia Mdogo wake Mwanamuziki Diamond Platnumz anajulikana kwa jina la Esma Platnum Akiolewa na mmoja wa Wafanyakazi Wa Wema Sepetu Upande wa Kampuni ya Endless Fame Anajulikana kama Petit Man.
Leo Asubihi January 12 Petit Man Amepost Picha ya Mke wake Esma Akiwa Mjamzito Kama inavyoonekana Kwenye Picha....

Wakati huo huo Nae Esma Platnum Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Insta:

"Morning IG daah kuna watu humu km unamoyo mdogo unaweza kufa kwa presha haki ya mungu naona kwanza nijipumzishe na insta kwanza hali yangu muhimu sana kuliko hata kitu chochote na mi binadamu ninamoyo...nisubilini nikifa muanze kunipa sifa hata zingine nisiokuwa nazo... now siitaji tress I LOVE U ALL "

Hongereni Petit Man na Esma Platnum
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad