Sinta Acharuka Akana Kujipendekeza kwa Wanawake wa Mwanamuzi Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wa Ukweli na Blogger Maarufu Sintah Amecharuka na kutoa makavu kwa shabiki mmoja aliendika kwenye instagram kuwa Sintah anajipendekeza kwa Wanawake wa Diamond...

Shabiki anayeitwa Rahma_Rahyuuh Alifunguka Hivi:

"Ila we Sinta una Dhambi sana--yan Hakuna Mwanamke wa Diamond Baada ya Wema Ambae hukuwa ukijipendekeza nae ' we mwanamke unajua na haya hayana mmoja! Mungu tunaemuabudu ni mmoja na @wemasepetu nae mtu ! Ohhoo--Muumuze tu lakini aibu itakurudia mwenyewe"

Sintah Naye Akafunguka Hivi:
"Huyo Mungu unaemjua mshitakie mabaya yangu uone kama atajibu coz anajua whats going on, siwezi nikaelezea vitu vingine but my close pipo know so go ahead n curse....kwahio urafiki wangu na Zari unaingilianaje na huyo Wema??please ongea vitu vya maana na mwisho leo kuweka huu upupu hapa, maisha ya zari ni ya kwake naomba nieleweke mimi ni rafiki tu i can advise ila siwezi ku control maisha yake


Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?

Narudia tena mie ni blogger n aweka kila jambo linalo husu mastaa, na huyo Zari mie nimemjua leo?? angalia calender yako vizuri labda unatumia za Ethiopia kuwa updated isitoshe labda wewe ndio unamuona zari ni malkia wako to me ni kawaida sana coz she is bin a friend ever since sio yeye tu familia yake nzima

halafu siwezi kumchagulia mtu maisha yeye kama anaamua kuwa Dimondo awe shemeji yangu kila la kheri kama ni Ivan sawaa yeye ndio anajua yupi mzuri kwake mimi sivai viatu vyake kujua maumivu gani anayapata " Sinta

Je wewe Msomaji Una Maoni Gani Kuhusu Hilo?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sinta Pupavuuuu tu, hana loloteee.........mi namjua tangu Kiraeni Sec, alifukuzwa shule kwa umalaya........aliishi sinza mitaa ya café latino akapata umaarufu kwa kugawa nyeti,.........hana lolote. Tulipokuwa Uganda walikuwa wanamuita RED PEPPER so that is how she is, she has no life at all.......Maromboso tuuuuuu.... MAISHA YAMEM-DON'T.
    Ishu ya kuachwa kwenye r/ship yeye ndio anaijua vizuri maana ameshaachwa mara kibao, hata hakumbuki wanaume wangapi wamemlala hadi sasa. Anafaa kufungua chuo cha mapenzi maana ana uzoefu kaanza zamani mnoooooo. WEMA NA ZARI FANYENI YENUUUU, Kama Wema kamwagana na Diamond Poa tuuu, Zari take over, Wema Move on. Kwani nani hataki mwanamke mwenye Hela na mzuri, au mwanaume mwenye hela na mzuri. That is Life, and Life is meant to be lived, Sinta shut da F..ck up

    ReplyDelete
  2. Ww utakuwa mange!!!! Muache sinta wetu!!! Ww anony 5:39

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyambafuuuuu, Mange mwenyewe simfagiliii vile vile mbeya sanaaaaaaa na mgombanishiiiiiiii ila sio malayaaaaa. sinta hawezi kuwa wako hata siku mojaaaa coz sio msagajiii, sinta ni wa wanaumee. KAA PEMBENI PERIOD

      Delete
  3. Yaani huyu Sinta anatafuta kick tu atoke, ni mama wa kutulia sasa na kufanya mambo yake.Nimemjua huyu mama tangu nipo form two yeye anaigiza kaole, anaandikwa kwenye magazeti ya udaku kila siku, mara Juma naure, mara marehemu James Dandu, mara nani sijui ilimradi tu alikuwaga kicheche Fulani hivi wakati huo. Sasa leo hii nimeolewa na ninawatoto 4 na niajiona ni mama wa familia siyo wakufanya mambo ya kijinga kwenye mitandao, ila huyu mama bado anajifanyaga hakui eti mabifu na akina Wema, Rayuu watoto wadogo anaweza hata kuwazaa. Sinta hebu achana na mambo ya kitoto wewe ni mtu mzima sana fanya yanayolingana na umri wako, kubali umri ushaenda hayo mavitu waachie wenye age zao sasa, unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha umaarufu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I love uuuuuuu, Nimekubaliana mno na wewe. Awapishe watoto wale ujana.

      Delete

Top Post Ad