Penzi la Diamond kwa Zari Linawaumiza Wengi..Ona Huyu Mganda Anavyohaha Kuwachafua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimejaribu kukaa na kutafakari matusi anayopewa Diamond na team Wema, kisha katika pitapita zangu nikakutana na hili jamaa linajiita King Lawrence (Lawrence Muyanga). Huyu jamaa nadhani amekuwa mtumwa wa kufuatilia mienendo ya Diamond na Zari, kwani karibu kila tukio analirusha huko instagram kwake.

Kwa namna anavyoaandika maneno ya kejeli hakuna shaka kwamba huyu jamaa penzi la Chibu na Madam Zari limempiga za chemba vibaya mno. Jamaa kama kapanic hivi hadi kakosa direction. Anataka kutengeneza kaushindani ka kijinga na Chibu halafu Chibu mwenyewe kampotezea. Pamoja na kuwa jamaa anaonekana change zipo ila hili la Chibu na Dangote pesa imeshindwa kufanya kazi.




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE SANA KING UTAAHANGAIKA SAANA TU !!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad