Picha: Ni Hatari Kuendesha Gari Wakati Umetumia Kilevi, Wawili Wafa Kwa Ajali Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Inatisha sana jamani usiendeshe wakati umetumia kilevi.

Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti.

Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikuta chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gari wakati wanawanasua.

Inasemekana ajali hiyo imesababishwa na wao wenyewe baada ya gari yao kuhama njia na kugongana uso kwa uso na bus la abiria.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POMBE SIO CHAI

    ReplyDelete
  2. Yawezekana gari lilikuwa likitumiwa na mumewe jana au na mtoto wa kiume, msipende kukurupuka ku judge

    ReplyDelete
  3. Sio kweli jamani waandishi acheni kusema bila kuchunguza. Huyo mama namfahamu hatumiagi kilevi na hizo konyagi zilikua siled kwenye box wala hazijatumika. Mwenye kosa ni basi la abiria liliacha mkoa likafata hiyo Rav4. Acheni uongo,,,

    ReplyDelete
  4. Mi mkazi wa Arusha hawa waandishi wamekurupuka tuuu sio kweli maelezo Yao. Basi ndo liliacha mkoa na sio pombe.

    ReplyDelete
  5. Sio kweli waandishi,, ,mie mkazi wa Arusha. Basi ndo Liliacha mkoa na sio pombe,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad