Prof. Muhongo Aita Waandishi wa Habari Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo ni leo. Jumamosi, Januari 24; saa 5 ofisini kwake. Mada kuu ni Escrow. Amewaita waandishi wa habari ili kutoa ya mayoni , haijulikani anataka kusema nini na kuchukua hatua gani , inasemekana kuna viongozi viti havikaliki kwa vile kuna wasiwasi akalipua bomu ambalo halijulikani .
Bunge linatarajia kuanza week ijayo na kuna wabunge wameapa kuwa Muhongo na Chenge wakiingia bungeni siku hiyo hapata kalika.

Nini Maoni yako ya ya hii habari?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heshima ya mtu ni kujiuzulu mwenyewe. Kwa nini ung'ang'anie madarakaaa?????

    ReplyDelete
  2. Heshima yako imeshuka professor kujiuzuru mpaka ulazimishwe?

    ReplyDelete

Top Post Ad