Wema Sepetu Ajuta Kutumua Kope za Bandia, Mwenyewe Ajuta na Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu akiwa na Kope Bandia
Stori: Imelda Mtema/Risasi
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.

“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa zimeharibu macho yangu, situmii tena,” alisema Wema.
GPL
---------------------------------------------
When you wake up every day, you have two choices. You can either be positive or negative; an optimist or a pessimist. I choose to be an optimist. It's all a matter of perspective.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Endelea tu kubandka mpaka zikutoe Macho....

    ReplyDelete
  2. I know, urembo fake huo Lol!! Katika hali ya kuwavutia mapedeshee.

    ReplyDelete
  3. Nabado utaisoma Tu.

    ReplyDelete
  4. ILE NGOZI ALIYOSEMA AMEENDA KUITENGENEZA CHINA IMAKUWAJE, MBONA ANAZIDI KUWA KAMA PAPAI?

    ReplyDelete
  5. DAH!!! MAMBO MENGINE JAMANI MUWE MNAMEZEA SIO KILA KITU KUWATANGAZIA WATU. YAANI UGULIA MAUMIVU PEKE YAKO !! UKISEMA NDIO HIVI UNAZIDI KUUMIZWA!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad