Wolper Asikitika Jina Lake Kutumiwa na Coca Cola Bila Hata Kushirikishwa Wala Kulipwa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jack Wolper
Kupitia ukurasa wake wa  kwenye mtandao wa INSTAGARM,  Wolper alifunguka;

“Habari Followers pamoja na wa Tanzania wote ambao naamini huwa mnaingia katika page yangu ya insta.Nimepokea zawadi hii ya Coca cola kwa siku 6 .
Na sio kwamba sikutaka kupiga picha kama wenzangu au ku post kama wenzangu,  nilikuwa natafakari kweli kampuni kubwa ya kitaifa na kimataifa inaweza kutumia gharama kubwa kuandika majina yetu bila kuchukuwa hata nafasi na heshima kubwa tuliyonayo kutushirikisha tu katika makubaliano ya kuandika majina yetu katika makopo yao.
Maana naamini mafan's wa Wolper wangeweza kushare na Coca cola kutokana Jina Langu kuwa label katika makopo yao.


Sasa Naamini tuna wanaharakati,wabunge,wanaSheria pamoja na serikali ambao huwa wanafwatilia wale wauza CD wa kariakoo basi Naomba Juhudi hizi mzihamishie huku katika kampuni hii kubwa ya kimataifa Coca cola ili kutetea haki za wasanii na sio kudhalilishwa kwa kiasi hiki jamani.
Sijui kama wasanii wenzangu walilipwa siwezi kuwasemea lakini haya ni mawazo yangu binafsi”. Wolper aliishia hapo.
Haya sasa, wapo ambao majina yao yametumika na wamefurahi na wapo ambao hawajafurahia....wewe kwako hii imekaaje?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio mbaya ila wangewaeleza tu wakakubaliana hata kwa bure..

    ReplyDelete
  2. Hao jamaa ni watu wanaotakiwa kushtakiwa na hatua kali za kisheria zichukue mkondo wake. Hiyo ni fedheha kubwa sana kwa Watanzania. Haiwezekani hilo suala likaachiwa wahusika kwa kubakia kulalamika kwenye vyombo vya habari. Huo ni uoneza wala hali ya juu wa haki za klimsingi za wasanii na pengine ni katika ile hali ya kuwadhalilisha kuwa hawajui sheria na lolote wanaweza kulifanya juu yao kama wanapenda ama la. Ni aibuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad