Wanawake wa Mjini na Style Mpya ya Kujifungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mjini watu wanatembea kwa gari, wanakula vyakula feki( chipsi) mwili hauna mazoezi kujifungua kunahitaji mwili uwe active kwa wakijijini wanatembea muda mrefu wanakula mlo mzito,miili yao ina afya na nguvu

    ReplyDelete
    Replies
    1. PIA WANAOGOPA KUUMWA UCHUNGU

      Delete
    2. kwel wadau mjin tigo ni tatizo

      Delete
  2. WENGI WETU TUNAMICHEZO MICHAFU SO UKIRUHUSU KUJIFUNGUA KAWAIDA UTAUMBUKA WAKATI WA KUZAA SI UNJUA MJINI TIGO SANA!

    ReplyDelete
  3. NIKWELI WENGINE WANAONGEA KABISA NA DAKTARI WAKATI WA KRINIKI ETI WE UTASEMA NYONGA HAZITANUKI NICHANE TUMBO TU

    ReplyDelete
  4. WENGIMNE WANASINGIZIA MTOTO MKUBWA AKISHAFANYIWA MTOTO NUSU KILO JAMANII KWELI WATU WASANII

    ReplyDelete
  5. mishimo ipo ya kutosha kabisa waliyojaliwa kwa kila mke basi tu hizo tigo ndo zinawaponza

    ReplyDelete

Top Post Ad