Faiza: Kuwa Mama Poa Sana, Natamani Nizae Team ya Mpira!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, ameyasema hayo  akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.

Mwigizaji huyu ambae mara kabdhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa  angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu kizuri sana kwake.

Kuwa mama ni kazi poa sana- naipenda sana yaani ningekua na uwezo wa kipesa ningezaa team ya mpira

Mbali na watu kuendelea kumshambulia kuhusu uvaaji wa nguo zake akiwa na mtoto wake mwananamama huyu ameonekana ni mtu mwenye kufanya kile anachokiamni  na sio watu wanataka nini.

Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa na mtoto wake ufukweni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuwa mama ni jambo jema sana hasa ukiwa unajitambua aisee...

    ReplyDelete
  2. na wewe si usubiri usifiwe,au biashara matangazo?

    ReplyDelete
  3. Msenge wewe unafanya matangazo ili upate manjemba yenye pesa yakuzalishe. Hahaaaaaa ama kweli biashara matangazo. Na hiyo bongo movie mnatudanganya kila siku inawapa pesa gani???!!! kama siyo biashara ya uzunzi tu mnafanya nyie. Nendeni mkalime shamba huko pambafff

    ReplyDelete
  4. kuzaa sio kazi,kazi kulea.
    unaweza kuzaa team ya mpira,je utawapa malezi bora?
    TENAHUYU AKIKUA TU BABA MTU ANAMCHUKUA,USIJE UKAMUHARIBU BURE NA TABIA YAKO CHAFU.

    ReplyDelete
  5. sijaona mwanamke ambae hana maadili kama wewe,unajiabisha.
    kuna wanawake wazuri wewe bwege tu,kazi kujiuza

    ReplyDelete

Top Post Ad