AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wengine wanasema Ujauzito umechangia Mapenzi kuwa Moto moto kwani Diamond ilikuwa ni Ndoto zake siku moja aje apate mtoto sasa hao wengine walikuwa hawataki kumzalia Diamond...
Dimaond Ameandika haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
'She had never been to zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania...
(Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu...) jus #earlierToday #ValentineWeekEndInZanzibar'
Wale wa ndimu Zipo, Najua kina wauma sana!!!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ilitakiwa wawe pekeyao sio na wapambe
ReplyDeleteIlitakiwa wawe wenyewe sio na wapambe
ReplyDeleteMwaka huu kuna mtu atajinyonga
ReplyDeleteMwaka huu kuna mtu atajinyonga
ReplyDeleteNi nzuri kwa matumizi,kutwa mara tatu lakini weka mbali na wtoto.
ReplyDeleteDAH CHIBU KULA 5 WEWE MKALI BANA. MTUNZE VIZURI ZARI!! WANAOSEMA OVYO ACHANA NAO USIKU WATALALA WEWE SONGA MBELE!!! BIG UP. WANAUME MPO HAPO?????? MAPENZI SIO KITANDANI TU JAMANI.
ReplyDeletemondi muoe zari,mapenzi yatazidi maradufu
ReplyDeletemuoe bhanaaaaaaaa.....
ReplyDeleteKWELI MUOE KABISAAA!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewatafutieni choo wakane hao team kujinyea wamekwisha sasahvi diamond huyo ndio mwanamke siyo mwanamke full mchina shape adi rangi ya mwili
DeleteYAANI MNAPENDEZAJE?? TUMISHENI MAPENZI YENU ILI MTOTO AZAWE NA MAPENZI MAKUBWA TOKA WA WAZAZI WOTE BILA STRESS.
DeleteKwa picha wanazoposit kila siku hakika inadhihirisha ni jinsi gani chibu imemuumiza kuachwa na Wema na Zari kuteseka alivyoanza kupigwa na Ivan sababu alikuwa anamchit Ivan wote Hao wawili stress zao zinafanana.
ReplyDelete