Lulu Ayashukia Magazeti ya Udaku, VISA na LETE MAMBO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo ameamua kuwapa makavu laivu magazeti hayo kwa kile ambacho Lulu anadai wamekuwa wakimbandika kwenye kurasa zao ya mbele kila leo kwa stori za kuungaunga.

“Okay...Acha nitoe PROMO bila Malipo tu maana inawezekana watu wana uhitaji...
Kwahyo kuna Magazeti yanaitwa VISA Na LETE MAMBO (tutambue uwepo wao kwanza) Sasa Sina uhakika kama ni masharti ya Boss zao Au ni sheria yao kutopitisha muda bila sura yangu kwenye magazeti yao tena Kwa story za kujitungia tu...Sitaki mnidhihirishie Kwamba bila SURA YANGU kwenye makaratasi yenu biashara haifanyiki....mtajiuliza Kwann nimekuja kuwaweka insta,mnajua sababu....mnajifanya ni ma bingwa wa kuchukua Habari kwenye mitandao Ya kijamii Na kuziboresha kwa uongo...Ichukueni na HII basi....!!

Kama kweli mna uhakika hata bila sura yangu kwenye makaratasi yenu kazi/biashara itakuwepo kama kawaida naomba mnidhihirishie hata ndani Ya miezi 3 tu....otherwise Basi niwe boss wenu mana bila mimi hamna mishahara...!

Endeleeni na madudu yenu...ila msije kukaa kwenye RIGHT ANGLE Mta Love show..!
NAJUA MTAPITA TU Cjui kama mna account humu ningewatag kbsa..!”-Lulu aliandika kwenye ukursa wake wa Instagram.

Bila shaka ujumbe umefika, ila nadhani hii pia kwao itakuwa stori pia.

Mzee wa Ubuyu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mta love show.. haya mdada kamaliza

    ReplyDelete
  2. wapi wewe mbna hamsemi shigongo muuze wenyewe story mjishaue mxiiiew

    ReplyDelete
  3. nanyi mmezidi kujishebedua watawastory sana tu

    ReplyDelete
  4. LULU HAWAUZI HAO BILA PICHA YAKO!!! WAKUPE COMMISION

    ReplyDelete

Top Post Ad