Mateka Mwingine wa kijapani auawa kwa Kuchinjwa Shingo na Kundi la Kiislam la ISI Baada ya Japan Kukataa Kutoa Hela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa za hivi punde zinabainisha kuwa mwandishi wa habari raia wa Japan aliyekuwa akishikiliwa na kundi linalojiita Islamic state of Iraq and the levant ameuawa kwa .....


kuchinjwa Shingo na kundi hilo..
Awali ISIL ilihitaji dola million Mia mbili kama kikombozi (ransom) ili kumwachia huru madai yaliyopingwa na Japana
Kenji goto anakuwa mjapani wa pili kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja na kundi hilo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH HII DINI INAYOUWA NAMNA HII HAIFAI KABISA!!!HUYU SIO MUNGU MUUMBAJI !!!

    ReplyDelete
  2. HAKUNA DINI INAYOFUNDISHA HAYA. ILA NI ROHO YA SHETANI INAFANYA KAZI. SHETANI YUKO BIZE SANA KULIKO TUNAVYOFIKIRI. DAWA NI KWA MTU BINAFSI KUMPENDA MUNGU SANA KWA KUTENDA MEMA NA KUCHUKIA DHAMBI. BASI.

    ReplyDelete
  3. Dini gani inaua namna hii jamani??? tuwe wakweli jamani dini nyingine majanga

    ReplyDelete

Top Post Ad