Mbunge wa CCM Awasha Moto Bungeni.....Awataka Wananchi Wasiichague CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amewasha moto bungeni akifunguka kuwa atawaambia wananchi wake wasiipigie kura CCM pamoja na yeye mwenyewe kama maji ...

hayatapatikana jimboni mwake wakati akichangia katika majiadiliano ya hoja za kamati bungeni leo.

Pia Lugola amehoji kwa nini nguvu zinazotumika kuwapiga watu kama akina Profesa Lipumba zisitumike kupambana na wawekezaji wanaokiuka masharti ya uwekezaji na kuwanyanyasa wananchi huku akimtaka Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi kushughulikia vilivyo kero za ardhi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we ndo mzalendo wa kweli

    ReplyDelete
  2. Tangaza nia,wakitokea watatu kama wewe tutafaidi.

    ReplyDelete
  3. safari ccm kaburi liko wazi

    ReplyDelete
  4. Good good mwisho wa CCM umefika, mtanogowe mwezi October ukifika

    ReplyDelete
  5. Pole chukua chako mapema

    ReplyDelete

Top Post Ad