Mrembo Tiara Kutoka Kenya Atoa Meseji za Siri Anazochat na Diamond..Zisome Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Demu wa Kenya anayejulikana kama TIARA ametutumia meseji akidai kwa sasa mambo yake na Diamond ni Safi kwani wanachat Facebook kwa siri ..Soma meseji hizo Hapa chini:







Mdau Je Kweli Huyo anaechat nae ni Diamond ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYO SIO DAIMOND.

    ReplyDelete
  2. HA HA HA HA MJINGA SANA HUYO SIO DIAMOND!!! DANGAYA HUKO HUKO KENYA!!!

    ReplyDelete
  3. Huyu demu ni lazima awepelekeshe sana Wabongo kwa sababu ya Sense of Creation aliyokuwa nayo. The bottom line of it ni kwamba huyu demu ni Mjanja, Mtundu, na pia ana Akili sana za kuwateka nyara wanaume na hasa wale wanaume wakware. Kwa demu kama huyu ni rahisi kunasa kwenye tundu la sindano. Huyu demu kimsingi amewazidi kwa mbali sana mademu wa kibongo kwa ku prove kuwa yeye sio tu kwamba ni model bali anayo Akili kubwa ya ubunifu wa mambo. Mademu wa kibongo badala ya kukaa na kukalia kupiga majungu jitahidini kujifunza kitu fulani kutoka kwake Tiara.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We mbwiga nini!!! Huna akili kwa hiyo we hapo unaona umeongeaaa!!! Kweli kichaa anajiona Ye ndo anaakili katikati ya watu timamu!! Mxiuuuuuu zako!!

      Delete
    2. Pumba tupu,ubunifu uo ujinga alotuwekea hapo? akadanganye kuku labda.

      Delete
    3. Sasa wewe hapo juu Anonymous 7:31 PM unachekeshaaaa. Sasa hayo matusi ya nini????? Weka hoja zako hapa na sio matusi. Kinachokushangaza ni kitu gani??? Acha chuki na maendeleo ya watu na inawezekana huyo demu amekuzidi mbali tu.

      Delete
  4. Hana kiwango cha kuchati na dangot.

    ReplyDelete
  5. Em uyo dem aache ujinga convi mbna simple kuforge ahahhahahah.....................nyc try tiara cha kufaya kachonga na m2 akaweka jina na prof ya diamond thn wama2nga maneno dem ka capture karusha mtandaon fooooollliiiisssshhhhh

    ReplyDelete
  6. HANA KIWANGO CHA KUCHATI NA DANGOT

    ReplyDelete

Top Post Ad