Ommy Dimpoz: Inzi Kufa Kwenye Kidonda Sio Ufala....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake  kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.

Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......

Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema kwenye bajaji  huku Wema akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!

Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.

Mzee wa Ubuyu Bongo Movies
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad