Mbasha Asita Kuzungumzia Mtoto wa Mkewe..Asema Haya Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog
Mwimbaji wa miondoko ya injili nchini, Emmanuel Mbasha hatimaye amefunguka juu ya mtoto ambaye mkewe Flora Mbasha amejifungua na kuweka wazi kuwa,
kwa sasa asingependa kusema chochote juu yake mpaka pale wakati muafaka utakapofika.

Mbasha katika mahojiano maalum na eNewz ameongezea kuwa, Mama wa Mtoto vilevile ndiye mtu sahihi wa kueleza ukweli juu ya ni nani baba halisi wa mtoto, huku kwa upande wake akisema ni mapema mno kulizungumza suala hili.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SOMETIMES HATA MAMA WA MTOTO ANAKUWA HAJUI NI MTOTO WA NANI JAMANI.

    ReplyDelete
  2. Miye naona hata mbasha hana hakika kama ni mtoto wake au laa !!!!

    ReplyDelete
  3. Kitanda hakizai haramu, huyo mtoto ni wa Ema

    ReplyDelete
  4. MBASHA mchukue huyo mtoto ni wako!!!

    ReplyDelete
  5. DNA. INAITAJIKA KUONDOA UTATA, WATANZANIA HII NI KARNE 21, TACHANE NA ZAMA ZA KARNE ZILIZOPITA, KITANDA HAKIZAI HARAMU MAANA YAKE NINI? IKIWA KUNA UTATA. ALAFU MTOTO AJE ATESEKE HAPO BAADAE, YA KUAMBIWA KWANZA SIYO BABA YAKO, KWA KUWA STORY ZIMEKUWA ZA UTATA KILA KONA,NA KHALI NI BABA YAKE AU LAA

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe umesema mtoto apimwe DNA ili ajue baba yake halisi

      Delete
  6. Mbasha ana akili zake na anaweza kufanya maamuzi, kama mtoto wake au si wake ni uamuzi wake kumpokea au kutompokea. Kama mtoto ni wake au si wake Flora anajua na nafsi yake ina uhakika! Mwisho wa siku muamuzi ni MUNGU sisi tutabaki na kutoa hukumu za kibinadamu kitu ambacho si sahihi

    ReplyDelete

Top Post Ad