Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema Sepetu, Soma Maneno yake Akikiri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahaba: Mwanamuziki  Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’  ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.

Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.



Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na Wema, Diamond atanichukia wakati ninavyojua demu wake kwa sasa ni Zari? Niwaambie tu ukaribu wa mimi na Wema ulianza tangu zamani alipokuwa na Diamond,” alisema Dimpoz.

Mahabati ya Dimpoz na Wema yalianza kuonekana laivu juzikati wakati wawili hao walipokuwa nchini Afrika Kusini wakidai kuna ‘project’ ya ngoma mpya ya mwanamuziki huyo waliyokuwa wakiifanya kisha picha zilizowaonesha wakiwa kimahaba zikavuja na kuzua gumzo mitandaoni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mbwa nae haachi kuleta habari zake zisizo na kichwa wala miguu,Hayo mamikono yaliyochoka yanaonyesha kama yale ya Mariam Sepetu yule baamedi alieokotwa enzi zilee na mzee sepetu, Haya tuambie sasa hiyo micha ya Ommy, Ivan au King Lawrence?? Malaya mchafu weee. Kuvua chupi kwako sio big deal. Una visasi vya kishambaaa eti kwa kuwa Dai ana zaa na Zari na mm lazima nizae na Ommy,Ivan au King Lawrence. Natamani uzae mtoto wa kike arithi umalaya wako au ule wa Mariam Sepetu (figa eit) Mistari kaa pundamilia. Nyoko weee

    ReplyDelete
    Replies
    1. kulikoni! mpaka mitusi inakutoka?

      Delete
  2. Kijana unaiga kunya kwa tembo? Km huna la kufanya nibora ukaanze mazoezi ya kupunguza km si kuondoa hizo hips zako. Mfupa umewashinda fisi woooote porini ww mbwa wa kufugwa utauwezaaa!

    ReplyDelete

Top Post Ad