Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

William Malecela Aka Lemutuz Ametangaza kuhitaji Mke katika Page yake ya Instagram huku akiomba watu wamuombee apate Bonge la Wife. lemutuz alipost picha akionyesha kitanda kikiwa hakija tandikwa na kuandika maneno haya hapa chini kama caption ya picha hiyo:

"kwa kweli nahitaji WIFE baby U know nahitaji bonge la mke hahahah people niombeeni basi nipate Le Wife U know this is not good yaani mpaka aje mfanyakazi je ukitokea moto hapa watu wakaingia wanakuta bed iko kwenye this mess U know jamani niombeeni nipate Le Wife hahahahahahah U know......Off to the Airport!, A-Town here I come leo DOWNTOWN KARATU LIVE! - le Mutuz
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani wanawake wanataka lebogus AKA lemburulaz??

    ReplyDelete
  2. Duh!h hili kweli bogus

    ReplyDelete
  3. Kumbe jamaa alikuwa anajinadi kwa kuuza sura kwny mtandao ili mademu wamuone,kwa stahili hiyo umefeli tegemea kupata bomu aisee mke mwema hayuko mtandaoni,usiporudi kwny ibada bora ubakie hivyo ulivyo.,afu ulikuwa wapi kuoa kitambo au ndio dah????wapo wauza sura km wewe mtandaoni,afu mkuubwa jiheshimu bro umrjitia aibu kujinadi nsdhani ulifikiri peke yako kabla ujasema maneni hayo....,ooooovyooooo.,..MKONG'OTO JAZ BAND...hizi Ni salaaamu tu nataka mjielewe wenye michongo km hiyo.,True boy unamuona huyuuuu,analeta ujinga...

    ReplyDelete
  4. unajidharaulisha sana kujioyesha kwenye mitandao o hivi ungekuwa na limanshen huko mbezi bichi au masaki sembuse hicho kiapatmetnt cha nhc old fasion unaonyesha watu kuna vijana wadogo kuliko wewe wana mijengo ya hatari na wapo kimya so take it is

    ReplyDelete
  5. Yaani huyu jamaa kanikera Sana.,wanaume marijali hatufanyi hivyo hizo za wapi wewe nilikuona mjanja kumbe dah km mashoga vle,unatudhalilisha we bwege bonge la mtu kumbe upepo.,yaani km yule anaeoota anagongwa na R7 afu kesho take anatamani awe mama,saiz yako huyo mama mnafanana mawazo........umelikoroga aisee....kesho tena njooo na picha za kona baa ukivizia kuku choma take away...

    ReplyDelete
  6. KWA HILI JAMAA B W E G E.....kuwa jinga

    ReplyDelete

Top Post Ad