AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadil
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo:
faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu
santamolly1234: ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa....by de way nahis alivuka stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa muache ale maisha tuuuu.
faridahfakhi :Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show
ladymodal :Simama tukuoneee....bad!
Una maoni Gani Kuhusu Hiyo Picha Hapo Juu?
--------
I can still love an ex as a person, regardless if the breakup was bad. I would never wish anything negative on them. It takes more energy to hate them than to wish them well.
Ashley Greene
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Zari nampenda sana ila kwa hili kaniangusha sana lol. Kanikeraaaaaaa!!!
ReplyDeletewasi wasi wako tu hakuna la ajabu hapo!!! zari uko pouwa sana !!!!
ReplyDeletePicha za kawaida kabisa acha ushamba wako joe!!
ReplyDelete