Tundu Lissu: Dar es Salaam Mnatutia Kichefuchefu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Akiwa mgeni mgeni Rasmini katika uzinduzi wa Chaso N.I.T Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lisu Akiongozana na Mbunge wa Ubungo Mweshimwiwa John Mnyika, Amesema haoni haja ya kuyashangilia na kushangilia Matokeo na Ushindi Ambao Ukawa wameupata ktk Matokeo ya Uchaguzi wa Serikari za Mitaa na Vitongoji Vya Jiji la Dar es salaam Kwani CCM imetugalagaza vibaya sana alisema.

Pia Mh Tundu Lisu aliongeza kuwa Katika Historia Nchi zote Zilizofanya Mapinduzi ya Kisiasa Huanzia katika Miji mikuu Na mji kuu wa Tanzania ni Dar es Salaam Dodoma ni danganya Toto Hivyo basi ili MaCCM Yaweze kutoka Madarakani Mh Tundu Lisu Amewataka Wakazi wa Dar es salaam na Vitongoji Vyake Waache Kututia Kichefuchefu ktk Matokeo ya Chaguzi haswa Tunapoelekea ktk Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba, akitolea mifano katika Mikoa ya Kaskazini wakiongozwa na Arusha, Pamoja na Nyanda za juu Kusini wakiongozwa na MBEYA,

Pia aliwataka wakazi wa Dar es salaam Waige mfano wa Jimbo lake Singida mashariki Walivyo wagalagaza MaCCM. Ktk Uziduzi huo Pia Mweshimiwa Tundu Lisu aliwagawia Wanafunzi zaidi ya 120 kadi za CHADEMA. hongeleni sana N.I.T Vyuo vingine viige Mfano Kutoka Kwenu.

Naomba kuwasiliza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanasiasa maarufu Marehemu Patrice Lumumba aliwahi kusema Nyani ni Nyani tu kumbadilishia msitu hakutamfanya awe binadamu kwani kule Zanzibar kuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa mbona hakuna cha kutushawishi kuwapa upinzani nchi ni kushawishiwa kunywa sumu kwa madai hutakufa huo upako wa UKAWA wabaki nao

    ReplyDelete

Top Post Ad