VIDEO inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.

Video, picha na story kubwa mitandaoni kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho halafu akawa anashuka ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi wakamuinua na kumpeleka kwenye gari yake

Kwenye video Mugabe anaonekana akishuka ngazi lakini hali yake ni kama mgonjwa au mtu aliechoka.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika(AU)............Salaaaalehh!!

    ReplyDelete
  2. Yani kuachia madaraka hataki au anataka hadi aje afie jukwaani umri umeenda angekuwa kijana tungesema anaumwa lkn uzee wote huo bado tu kang'ang'anaaaaa!!!

    ReplyDelete
  3. ni binadamu kama wengine namkubali sana mzee huyo kwa misimamo yake

    ReplyDelete
  4. Hayupo kiongozi aliye baki afrika shujaa kama mugebe na hamuoni wa kumuachia madaraka coz wote ni vibaraka wa wazungu

    ReplyDelete
  5. ndio mugabe ni jembe la africa

    ReplyDelete

Top Post Ad