Mwanasheria Alberto Msando Awaponda Wasichana Wanaojiita Ma Boss Lady Bongo, Wengi ni Maboss Lady Uchwara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog: Kimezuka Katabia Ka Mabinti hasa huku Instagram na Facebook Kujiita Mabosi Lady Wakati hata hawajui Mabosi Lady Wanatakiwa Waweje..Alberto Msando Amewashukia na Kuwapa Somo Kidogo:


"Siandiki sana kwa sababu ninaowajua mimi maboss lady kusoma kwao ni allergy. Akisoma kitu kinachozidi neno 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' basi anaumwa. Na muda mwingi anapiga selfies na picha za 'about last night with my girls'. Boss ambaye hana cheque book wala huoni picha za ofisini au akiwa bank. My challenge to all boss ladies soma definition then post picha na wafanyakazi wako iwe TBT au now. Ukishindwa basi weka picha na yule dada wa usafi anayekuja mara mbili kwa wiki kukusaidia usafi si anakuita boss??"

Baada ya Kusema Hayo Albert Msando Ameweka Maana Halisi ya Msichana ambae ni Boss Lady

"Boss Lady
THE woman who is in control. People who have never her see her and feel the need to respect her, and do. Runs the show, is cool and collected, gets the job done. Confident, never looks down. Depends respect and gets it.
Because she demands respect, and gets it, she is the Boss Lady."

JE hawa wa Kwetu Bongo Wanaojiita Maboss lady Wanafikia Vigezo Hivyo ? Au ndio Maboss Lady uchwara  wakujua Kusoma 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' pekee na kukaa uchi mitandaoni?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mange kaachika .Lance anatoka na rafiki wa mange live

    ReplyDelete
  2. Je Zari bado ni boss lady au sasa hivi kajivua kwa vile yuko under full control ya Diamond? Hivi Mange naye aliwahi kuwa boss lady? Nadhani boss lady waliobaki sasa hivi itakuwa ni yule mchaga wa kipindi chake cha kuwahoji hata simkumbuki jina lake sijui Sopra na Jestina George. Lakini kama kawaida ya wanawake kama ilivyokuwa kwa Zari, it might be a matter of time wanaweza kuwa pepeta tana kama ilivyokuwa kwa mwenzao Zari.

    ReplyDelete
  3. If there are people i hate ni hawa wanaokaa uchi mitandaoni kutwa kucha it shows how hawana kazi ya kufanya isipokua kuwinda wanaume, they should get a life wote wahuni tu including Zari kwani mali katafuta mwenywe? mi kwangu bosslady ni ambae anachakarika mwenyewe.Mange is working hard na pia anapenda familia yake mengine tumwachie mungu

    ReplyDelete
  4. Hawa ni mahotelini mungu awafungue akili ili waweze kutambua thamani ya miili yao wasiwe wanaianika nje.

    ReplyDelete
  5. mungu wafungue kweli wajitambue!!!

    ReplyDelete
  6. Mie bosslady tanzania ni mwamvita makamba tuuu hawa wengine mmmhhh hapanaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad