Dudu Baya Akwapua Simu Bar, Nusura Wananchi Wamchome Moto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Dudubaya Ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao ambae alikuwa amekaa naye meza moja pale Mango Garden huku Twanga Peteta wakiburudisha Tarehe 14 March..
Inasemekana Papa Mapao baada ya kutosheka na Burudani aliamka na kuondoka lakini baada ya kufika nje alishtuka kuwa ameacha simu mezani na kurudi lakini alikuta simu haipo na mtu aliyemwacha hapo ni Dudubaya ambae bado alikuwa hapa .Hali ilikuwa mbaya ukumbini kwani baadhi ya mashabiki walipendekeza Dudubaya Asachiwe lakini ghafla simu ilionekana miguuni kwa Dudubaya akiwa ameikanyagia na viatu..ilibaki kidogo jamaa wamchome Moto ..alisema mdau mmoja aliyekuwepo eneo la Tukio.....



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NJAA ITAWAUWA WASANII WETU NDO MANA WANAKUA MAKONTENA YA KUBEBA UNGA. WAKIWA NA PESA BADALA WAWEKEZE WAO STAREHE

    ReplyDelete
  2. WAAMBIE HAWA WANAENDEKEZA SANA STAREHE!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad