Kakobe :Rose Muhando Sio Mlokole Hata Kidogo Anawakatisha Wanaume Viuno Stejini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiongozi wa Kanisa la Full Bible Gospel Fellowship, Askofu Zakaria Kakobe Amewalipua baadhi ya Wanasiasa na waimbaji wa Injili wanaotumia neno uokovu katika maisha yao wakati haipo hivyo...
 Askofu Kakobe aliyasema hayo alipokuwa akihubiri kanisani kwake na kumtolea mfano Mwimbaji Rose Mhando na kusema hana sifa za ulokole kwa kuwa anawachezesha wanaume kwa kukata mauno kwenye nyimbo zake , Amesema "Hivi kweli mtu kama Rose Muhando unaweza sema ameokoka ..embu tuache utani na kumrudia Mungu Jamani"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HATA MIYE MASWALA YA KUKATA VIUNO KWA KWELI SIO SAHIHI ROSE UMEZIDISHA.

    ReplyDelete
  2. Mr.Bishop U ain't gotta no right to judge a person ONLY GOD can judge us(au hii haimo ktk vitabu vyako vitakatifu?)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Very true. Kuna maneno ya kuongea hadharani inasikitisha sana.

      Delete
  3. Mbona we mwenyewe wanasema mwanga na tapeli nani kakujaji?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si iumeshasema wanamwita 'mwanga' na tapeli, ndio wameshamjaji tayari? Au kumjaji unataka mpaka apelekwe mahakamani?

      Delete
  4. Yeye mwenyewe kutwa misikitini kuswali usiku,kaa kimya baba kula hela ya sadaka tutaonana siku ya kiama,wakitoka kuchomwa magaidi,wafate wachungaji fake wanaoua albino wanasiasa nk

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eee haloo huwa mnaongozana sana inavyoonesha.

      Delete
  5. Umeishiwa maneno ya kuhubiri, jipange sawasawa

    ReplyDelete
  6. Jamani iko pesa nataka kugonga hiyo Rose mhando,tafadhar tafuta yeye pesa mingi sana!

    ReplyDelete

Top Post Ad