Petiman:Bora Ninyang'anywe Mke Kuliko Kuachana na Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine..
Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..

Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari

Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala kuwekeana mipaka "


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. 'nyimbo yake mpya'... acha tu wakenya, waganda na warundi watuzidi kwa kiswahili kizuri.. hiki cha Tz tunakiaribu wenyewe, mbaya zaidi waandishi ambao wanastahili kuwa mstari wa mbele kukijenga ndo wabovu.

    ReplyDelete
  2. Wewe mwenyewe pia unachangia kukiharibu kiswahili umeandika"TUNAKIARIBU"badala ya TUNA KIHARIBU"wakati ule mkiwa mashuleni mlifikiri mnawakomoa waalimu zenu kwa kutokusikiliza na kujifundisha vyema lugha yenu ya kiswahili sasa matokeo yake ndiyo haya everywhere ni brocken swahili

    ReplyDelete
  3. Siyo waalimu zenu,,Bali Ni waalimu wenu,,,na wewe PIA unachangia kukiharibu kiswahili,@

    ReplyDelete

Top Post Ad