Kigogo Mbaroni Mwanza Mauaji ya Albino na Fedha za Bandia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti Mengi yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais bila kumtaja Jina

Je ni Kigogo Gani Huyo ? na anatoka Chama Gani ? Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina Hapa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wako wengi sio yeye pekee

    ReplyDelete
  2. Pumbavuuuuuuuuu!!! Kama hawataki kumtaja wangesubiri upelelezi uishe!! Sasa wanafichaficha baadae tutaskia tu kesi imeishia hewani kwa nini wasimtaje na sisi wananchi tujue kama kweli yuko mbaroni!! Wananitia hasira aaaaaarghhh!!!! ntaua mtu mie!!!!

    ReplyDelete
  3. kudadekiiii....!! sa hy habar ina maan gani kama mtuhumiwa hamtaji hina lake wananchi 2wez kumjua..... na nyie ndo wale wale tu...!!

    ReplyDelete
  4. hakuna lolote hajakamatwa mtu yeyote ni propaganda za kisiasa tu... kama kweli kuna mtu kakamatwa kwa nini inakuwa siri.....

    ReplyDelete

Top Post Ad