Kiuno Bila Mfupa Champonza Ray C, Mwenyewe Akiri Alitupiwa Pepo la Madawa ya Kulevya Kwa Sababu ya Kiuno Chake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama ulikuwa hujui kwanini Ray C alijikuta kwenye madawa ya kulevya chukua hiii...Mwenyewe amefunguka na kusema kiuno ndio kiliumiza wengi na wenye roho mbaya kumtupia pepo la madawa ya kulevya kumpoteza....Soma hapa alivyofunguka :

"Haka kademu kaliumiza wengi na hako kakiuno dah kalikuwa homa ya jiji na ndio maana kakarushiwa pepo la madawa maana kalikuwa kanasumbua sana kimuziki na kimvuto!ndio maana hakuna hata msanii mwinzie aliempa hata pole mwee!tatizo kanyota kake ndo kalimletea majanga maana kanyota kake kalin"gara sana ndio maana kakapewa mtihani mgumu ili kaadhirike na pengine kapotee kabisa lakini kana bahati mungu nae alikapenda sana na ndio sababu kamepewa nafasi nyingine ya kuishi na kutimiza mallengo yake!tatizo wabaya wake wana hasira ile mbaya kwanini kamerudi tena?kwanini kabishi kufa kama paka?kwanini kamerudi tena kwenye muzikj?kwanini hakajafa!!!kwanini ziko nyiiiiiiiingi?????kwanini kaliokolewa na mkubwa wa nchi????kwanini Rais alikasaidia????mxuiiiiiiiiiii KWANINI NYIIIIIIINGI?MWEEEEE BAHATI YA MWEZIO USIILALIE MLANGO WAZI!NDO HIVYO TENA NDO ISHAKUWA!!!!WE KAA UJIULIZE KWANINI KWANINI!!!!WAKATI UNALISUBIRI JIBU MWENZIO NIKO MBALI TAYARI!ZE PROBLEM IS ZE NYOTA!!!!!Ndo jibu labda!Kwanini my foot"


Je unaamini kweli wapo wanao muonea wivu Ray C kwasababu ya kiuno bila mfupa na hatimaye kumtupia pepo la Madawa ya Kulevya?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahah celebs wabongo bana.....et pepo la madawa hahahah....
    yaaan tunaamin sana ndumba, blali bugger, kubaaaafu

    ReplyDelete
  2. Yaani wale wengine wote waliokuwa "ADDICTED"na pombe sigara uteja nao pia wametupiwa hiyo mnayoiita pepo?Sio wabongo tu yaani Africa yote kwa ujumla na imani hizi za kishenzi na kipuuzi kumbuka kuwa in life kuna ups and downs that's life's all'bout seen?No wonder hao mnaowaita waganga ustadhi nk.waishi ktk goodtime kweli "WAJINGA NDIO WALIWAO"WAKE UP PEOPLE!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad