Nini Chanzo cha Usagaji kwa Wanawake Bongo ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Heshima kwenu mabibi na mabwana.

Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,

wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.

Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.

Asanteni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya mambo yapo toka kitambo sana tofauti yake ni kuwa zamani watu walifanya siri sana tofauti ilikuwa ni another time compared na sasa hivi watu wanafanya open they don't care nani anawaangalia lakini hivi ni vitu ambavyo vipo katika jamii tunayoishi nayo so it's not easy to stop it haswa ukiangalia kuwa everybody is free to do feel or live like how he or she wants

    ReplyDelete

Top Post Ad