Nyalandu: Urais Mwaka Huu ni Kivumbi ila Simuogopi Mtu Kati ya Wote Wanaotajwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema uchaguzi wa Rais ajaye utakuwa na ushindani mkubwa ndani na nje ya CCM, huku akibainisha kuwa haogopi mtu kati ya wote wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro hicho, bali anawaheshimu.

Lakini mbunge huyo wa Singida Kaskazini amesema mgombea pekee atakayemwogopa ni yule atakayekuwa anataka kulipiza kisasi dhidi ya wagombea wengine.

Waziri huyo alitoa kauli hiyo jana wakati alipofanya ziara kwenye makao makuu ya Ofisi za Mwananchi Communications inayozalisha magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti zilizoko Tabata Relini kando ya Barabara ya Mandela.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBONA UNAANZA KUJISHUKU KULIKONI????

    ReplyDelete
  2. .. anajishuku vp? jama is better than ma mvi

    ReplyDelete
  3. MAPEMA SANA KAKA NYALANDU

    ReplyDelete
  4. Umuogopi mtu kwani ugomvi!

    ReplyDelete
  5. hamna kitu hapa, akagombee uraisi anaoutaka jimboni kwake singinda!

    ReplyDelete
  6. MWANGALIE KWANZA ALIVYO NGANGANIA ETI SIMUOGOPI MTU, HIII NCHI SI YA MTU MMJA AU JESHI MOJA, NI DEMOKRASIA, KAMA HATUKUTAKI UTATULAZIMISHA, TUNAJUA WAPO WANAOKUTAKA, NA WENGINE HMMM TUNA WALAKINI NA WEWE, TUMESCHOKA NA UFISADI, WIZI RUSHWA, MAENDELEO HAKUNA, MTU KAMA WEWE NDIO WALE WALE

    ReplyDelete
  7. Mbona mawazo yote ikulu au ndio, ukatuibie vizuri wadanganyinga, maanake watu wanawaza kutajilika na kuishi maisha ya juu,

    ReplyDelete

Top Post Ad