Ommy Dimpoz:Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo.

Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.

 “Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna vitu vingine huwaga anaposti na mimi vinanipita pia,” amesema Ommy. “Kwahiyo huwezi ukasema hajaposti kwa sababu fulani na fulani. Diamond si yuko na Zari au? Kwahiyo hawezi tena akawa anafocus kwa mambo ya Wema. Wala hawezi kunimind mimi kwa sababu kamuona Wema, haiwezekani. Halafu kumbukeni shemeji yetu Zari ni mjamzito msitake kuwatia watu pressure.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ommy nakupenda kuwa na wema mtapata mtoto mzuri alafu huo wimbo kama unakijijembe furani kule mtaa wa pili eti kaka"watu wakila tu wanataka mtoto"ila nimeupenda kaka.

    ReplyDelete
  2. safiiii Ommy, umewapa makavu life, nimekupenda bure.

    ReplyDelete
  3. Nashangaa Wema kila anachofanya anaandamwa si kashaachana na Domo zege tatizo ni nn.

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa IQ yake ndogo sana,diamond hayupo na wema so why worry for?ata kama umegonga gonga.

    ReplyDelete
  5. JAMANI HEBU MWACHENI DIAMOND KUMBE WEMA ANAFANYA KWA KUMONYESHEA DIAMOND??????WEWE MWENYEWE ULIMWACHA MBONA WASUMBUKA DADA??

    ReplyDelete

Top Post Ad