Watu Waanza Kuhoji Mimba ya Zari..Wadai Siku Zinaenda na Hawaoni Chochote

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na Huu Mjadala Jamii Forums Mdau mmoja Ameuliza kuhusu Mimba ya Zari aliyepewa na Diamond.......

Mdau Alifunguka Hivi:

'waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi
Samahanini kwa usumbufu'

Baada ya Mtoa Mada kuandika hayo hizi ni Baadhi ya Comments walizotoa:

-Hahaha hapo sasa inatia mashaka sna

-afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block

-Hahaaa...hapo ndo kwenye mashaka

-mh mawifi na mashemeji wa Tanzania mna gubu sana....

-Si vibaya kutaka kujua, ukishakua celeb. ni kawaida raia kufuatilia each of ur biz., hata unavyotiana.

-Wengi wenu ni timu mama Ubaya.!

-jana tuu katoka kuwaambia amebebewa na mama zao, sasa sijui hawakielewa??

-mtoa mada jaribu kufikiri hata kwa kutumia akili za kukopa,, mimba ya Zari ww inakuhusu nn??
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wamezidi mnamfatiliya mtuu kana amekula deni lenu mimba mimba yake nyiye inawahusu nini mpaka na kumuhisabiya zakwenu mbona hamuhesabiwi mbona hamuhesabiyi ya wema su aliwaonyesha tumbo lake anapimpwa mkoo tuu na zari

    ReplyDelete
  2. HEE WABONGO BANA YAANI MNAACHA KUFANYA MAENDELEO MNAKODOLEA MACHO KITUMBO CHA ZARI!!! JAMANI ACHENI HIZO

    ReplyDelete
  3. na wewe wema kakukosea nini yeye ndo kandika comenti au una andika@ sababu una MB za Bure wacha roho mbaya wema nae mtu kama watu wengine mada watoe wengine umseme wema how Coms mtafute alie toa hiyo mada umwambie jina la wema limekukaa sanaeteeeeeeeeee utajibebaa nenda sasa ukaishi na Zar kama unampenda nitakuopna wa maanaa lakin hivi hiv hata namba yake ya cm huna...........

    ReplyDelete
  4. Kwan mimba inabebwa siku moja? Au ndo nyie ambao hamkuwah hata kutunga wala kubebesha mimba! Tumia akili, miezi Sy km km lisaa1!

    ReplyDelete
  5. lazima watu waulize si wenyewe walianza kuitangaza sasa walitegemea nn? mm naona ni kiki tuu, au Nassibu kauziwa mbuzi kwenye gunia.

    ReplyDelete

Top Post Ad