Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanawake watakutetea tu,hasa wale uliobugia nao hela za ESCROW,nadhani wanaangalia upepo kwanza,hii ngoma mbona ndio kwanza inaanza ushakuwa na presha?

    ReplyDelete
    Replies
    1. THIS MAMA SOME HOW!!! SOMEWHERE??????? SHE IS NOT NORMAL

      Delete
  2. Mama wakutetee kivip yan kama ni muhusika

    ReplyDelete
  3. Wakati anakula hiyo mihela mbona hakuwatafuta wanawake wenzia akawapa hela yamboga,au kusaidia watt yatima?pumbavu mkubwa

    ReplyDelete
  4. Mimi mwanamke na ninasema hivi...fedha za ESCROW ni zaidi ya Bilion 300 mbona wamemshupalia huyu mama jamani? Halafu anachosema wala hawamsikilizi. Nendeni mkatembelee shule inayomfanya apate hii aibu tuone kama mtaendelea kumdodosa. Viongozi wanaiba na kula na familia zao. Mh. Tibaijuka kapewa michango na kwa kweli anatumia kwa maendeleo ya watu. Sweden wanamheshimu kama nini nyie waTZ ndio mnamdharau na kumdhalilisha. Rais mwenyewe anazunguka duniani akiomba misaada.. Akisema fedha ya mboga ni kulingana na fedha aliyopokea sio kwa dharau. Yaani mmekazana kukosoa tu kila anachosema. Kwanza mwacheni jiulizeni fedha zingine za ESCROW ziko wapi? kweli mnafungwa macho WaTZ. Ma Tiba akikasirika aanze kusema ukweli wa ulaji wa viongozi ndio mtatafuta pa kujificha,

    Anna usikubali kufa peke yako sema usiogope sema!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. huenda na wwe ulipatiwa hela ya mboga kidogo....na nadhani hujafuatilia hili sakata toka mwanzo....
      pili si haki kwa nchi kama tanzania ambayo walimu wanasota miezi mpka 3 hawajapewa mshara, watu wanahesabu tu masaa kwa kushindia na uji na still hawajui usiku watalalaje alafu uje uite m10 hela ya mboga..ni dharau..angetafuta kauli nyingne. yeye ni msomi...lazma huweze kujidefend kwa logic na hoja za kimsingi..hv mama ambaye hajui atakulaje yye na watto wake hata mia 3 ya mboga anakosa, alafu anasikia kiongoz wake anaita m10 hela za mboga unadhani atajiskiaje...yeye chenge,ngeleja naa professor muhongo kuliko maprofessor wte huku duniani ni wasomi lakin hawajui kujidefend kwa hoja za msingi...na wana maneno ya dharau na kejeli....kuna

      Delete
    2. kutokana na sheria na maadili ya umma inamtaka mtumish wa umma kutangaza iwapo wanapewa zawadi au msaada...so kimsing wote wanamakosa......unajua inaaminika mama ni mlezi wa familia ssa inapotekea mama unakua kwenye maskendo makubwa km haya dah familia itahuzinika na kunung'ung'unika sana

      Delete
    3. Umeona jinsi hela zilivyoingizwa kwenye ac yake na kutoka?ni kweli umeona uhalali hapo?

      Delete
    4. Naona wewe ulipata mgao, endelea kutetea upuuzi.

      Delete
    5. HUYU ALIPATA MGAO ZA MBOGA!!!!

      Delete
  5. Actually huyu mama is not normal, hera zake hare na nani? Reo aseme tumtetee. In fwact awatafute kina Nar.... wabeba mabegi yake then wamtetee.

    ReplyDelete
  6. mbona wakati umepewa hizo pesa hukuwatafuta wanwake wenzio/ UMEMALIZA NDIO UNAKUMBUKA KUWA KUMBE KUNA WANAWAKE. WE KUFA NA HAOHAO AKINA rUGEMALILA WAKO. BILA KUMSAHAU MWENZIO MULONGO.

    ReplyDelete
  7. HIVI TUKUTETEE VIPI WAKATI ULIKULA PEKE YAKO?? WAAMBIE MLOKULA NAO NDO WAKUTETEE

    ReplyDelete
  8. WEWE MAMA ACHA UOUMBAVU WANAWAKE WENZAKO WANATESEKA VIJIJIN HAWANA HATA PESA YA KUNUNUA UNIFORM ZA WATOTO NA VIATU VYA SHULE JAOPO PAIR MOJA WEWE UNAITA 10M NI PESA YA MBOGAA WEWE WAMBIE WANAO WAKUKUTETEE ULIKULA NAO SIO SISI WANAWAKE TUNAOTESEKA MIKOAN

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haaaaaaaaaaaaaa!mdau umenifurahisha,wanatupita wanafunga na vioo kabisa,hapa jimboni kwake tu hayo uliyoanisha yapo sana.

      Delete
  9. ale peke yake halafu wamtetee wengine.kila mtu na mzigo wake

    ReplyDelete
  10. Vumulia tu kama ulivyovumilia wakati unachukua hizo Pesa !!

    ReplyDelete
  11. wakutetee ulokula nao

    ReplyDelete
  12. huyu mama mjinga sana, kwani suala lisingeibuka angewagawia wakina mama?

    sijawai kuon prof mjing duniani kama huyu

    ReplyDelete
  13. HIZO MBOGA ULITUGAWIA???

    ReplyDelete
  14. eti ni profesa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. NADHANI HAPA KWETU TZ U-PROFESSOR NI KAMA AINA FULANI YA UTAAHIRA.... hebu zikumbuke kashfa na kauli za ma-prof wetu hawa: prof. kigoma malima (marehemu) prof. mbilinyi, prof. anna tibaijuka, prof muhongo na wengine wote

    ReplyDelete

Top Post Ad