Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Kikwete amesema serikali haiwezi kuanzisha wala kuiendesha na kuihudumia Mahakama ya Kadhi na ameongeza kuwa hilo ni jukumu la Waislamu wenyewe na kwamba hawazuiliwi kuianzisha Mahakama hiyo na kwamba hayo ndio yalikuwa makubaliano.

Pia,Rais Kikwete amesema tamko la viongozi wa dini kuhusu suala la katiba mpya, limemshangaza, limemfedhehesha na kumsikitisha sana.

Rais Kikwete ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya amani cha viongozi wa dini wa mkoa wa Dar-es-salaam.

Chanzo: ITV
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania sio nchi ya dini,na inaendeshwa na katiba
    kwa nini mambo ya dini fulani yakajadiliwe bungeni kwa ajili ya kuingizwa kwenye katiba?
    sheria za dini zihusishwe na dini husika na sio kupelekwa bungeni.TATIZO LIKO WAPI WAJEMENI?

    ReplyDelete

Top Post Ad