Ray C Ampiga Dongo la Wazi Mtangazaji Zamaradi Mketema "Players Be Like -Keep Popping Dem Kids"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Ray C Kupost Picha Hiyo Hapo Juu na Caption yake , Wadau mbali mbali wa Ray c Walitafsiri moja kwa moja kuwa ni Dongo kwa Zamaradi Mtangazaji wa Clouds Baada ya Kujulikana ana Mimba ya Mtoto wa Pili...Hii imekuja wakati ambapo siku za nyuma Ray C na Zamaradi walikuwa na Beef kwa Kumgombani Ruge Manager wa Clouds FM ....

Baadhi ya Comments

Mrekebisha Tabia:
@rayc1982 acha vijembe mpenzi.... 1. Focus kurudi kwenye muziki 2. Endelea kutumia dawa na kuwasaidia walioathirika na madawa ya kulevya 3. Acha kuuza mikorogo, ngozi yako imeharibika (huo ndio ukweli), be careful huo mkorogo usiharibu na ngozi za wengine 4. Fuatilia maisha yako! Ukifanya haya utafanikiwa na milango yako itafunguliwa.

Hongera @zamaradimketema kwa kupata mtoto mwingine wa kike....una bahati sana mdada Mungu akupe nini tena? Watoto ni baraka wa kwanza wa kiume wa pili wa kike...bahati iliyoje halafu una maisha yako unajitegemea na una kazi yako nzuri... unabarikiwa, Kwanini watu wasione wivu???


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ALAAA KUMBE ZAMARADI ANAZAA NA RUGE??????

    ReplyDelete
  2. UMETOKA LINI SHAMBA? HATA YA ZAMA HUYAJUI..LOL

    ReplyDelete
    Replies
    1. KUTOKUJUA KITU SIO USHAMBA!! WEWE UNAJUA MANGAPI? AU HILO LA ZAMARADI KUZAA NA RUGE???????NDIO LIMEKUTOA USHAMBA??

      Delete

Top Post Ad