AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sasa ni muda wa kufanya kazi na sio malumbano tena, katika vikao vyako usitumie neno chadema kama ulivyoamua kufanya tokea wakuanzishie migogoro. Hiki ni chama kinachoweza kuwa mkombozi kwa watanzania iwapo kama kitaepuka mambo manne makuu Ufisadi, Migogoro, Udini na Ukabila.
ReplyDeleteHuo ndio ujumbe wangu kwako Bwana Zito Kabwe !
Mimi ni mwanachama mpya wa ACT namba 7997, hapa kazuramimba, nimeisoma katiba ya chama, naomba kuuliza je mkutano mkuu huo umeiibadili? Nawapongeza mwenyekiti na katibu mkuu, na mlezi wa chama maana wamo kikatiba, je kiongozi mkuu zzk nafasi kaitoa wapi? Jamani hivi nawaambia kadi nimeishika mkononi, najiuliza niiweke mfukoni au......, nipeni majibu ni ibara ya ngapi inataja kiongozi mkuu atakua xaidi ya mwemyekiti? Labda wenzangu mmesoma zaidi, niambieni haraka la.sivyo naichana
ReplyDeleteHuo ufafanuzi ungeweza kuupata kwenye tawi lako badala ya kuja kupoteza muda hapa
DeleteMmmmh, mbona sielewielewi vile, kiongozi mkuu? Je mwenekiti atakua na kaxi gani?
ReplyDelete