Lowassa Ataka Jakaya Kikwete Asaini Wauaji Albino Kunyongwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa ameitaka Jumuiya ya Albino nchini Tanzania kuisukuma serikali ili rais Jakaya Kikwete asaini utekelezaji wa hukumu ya kuwanyonga wauaji wa albino.

Mh. Lowassa ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya vijana walioshiriki matembezi ya hiari kulaani na kupinga mauaji, ukataji wa viuongo pamoja na ufukuaji wa makaburi ya albino Jijini Dar es Salaam.
Kauli hiyo ya Lowassa imekuja wiki moja tu baada ya Rais Kikwete kusema hajapelekewa majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutoakana na mlolongo mrefu wa kisheria uliopo kabla ya kumfikia.
Aidha kutokana na kukithiri kwa mauaji hayo Lowassa ameiomba Serikali kuunda kamati maalumu itakayokuwa ikichunguza mauaji ya walemavu hao bila kutegemea kamati za mikoa ili kuongeza ufanisis wa kuilinda jamii hiyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad