WEMA SEPETU Awatolea Uvivu Wanaosema Ana Miguu Mibaya na Yenye Michirizi, Adai 'Iwe Mibaya iwe ina Makovu iwe na Michirizi ni Yangu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi amabayo inaonyesha miguu yake.

Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh... Sasa muache vifimbo vyangu... maana ndo Mungu alonibarikia navyo…” Wema ameandika kupitia ukurasa wake mtandaoni.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waambie watuonyeshe yao ilivyo. washenzi kuingilia kazi za Muumba.

    ReplyDelete
  2. MITENDE MBONA ANASEMWA HAKASILIKI NA MNAMNANGA KILA SIKU ETI MBAYA ,SIO SEX, MIMBA IMEMCHUKIZA YEYE KIMYA SASA VIFIMBO UNALALAMA NINI MPAKA POVU LINAKUTOKA.

    ReplyDelete
  3. WANATAKA UWE NA MATENDE KAMA 41+ NDO MAANA MAZOEZI HAYAMUISHI KUMBE AGONJWA BAYA.

    ReplyDelete
  4. bora yako Wema unaionyesha na mizuri, sasa miguu minene hata pingili haina wanaisifia kumbe ni maugonjwa hahaaa, akifika 50 hanatembelea fimbo. matente oyeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  5. hivi hujajua wafamajni Wema? wanatamani kuwa kama wewe, hawajiamini kabisaa wanamsifia Ajuza hawajui mwenzao na maumivu ya matende, ndo maana hatoki kwenye mazoezi kila cku

    ReplyDelete
  6. Matende kadi lake la hospital mnalooo, acheni kujifariji wakati hamumfikii hata hule mguu wa KIHAYAAAA wa ndizi na senene

    ReplyDelete
  7. Hayo mateam yenu yanawaponza jinyamazie Tu utalalamika kila siku,hapa tu watu washaanza matende unafikiri wanaompenda Zari watanyamaza itabidi uzoee mama!

    ReplyDelete
  8. Aliimba mwana FA hiyo michiruzi ya utamu

    ReplyDelete
  9. If I was to choose.I would choose Wema's legs.And again if i were Zarina I wouldn't wear mini skirts.Am not a hater ila truth be told she looks horrible in short dresses/skirts..are legs are shapeless.And she knows it.Ila wabongo wenzangu tukiona matende tunasifia,mguu wa zari tangu day one namuona kwa sintah enz sinta anamrusha sikuupenda,to cut the long story short she is an average woman.Though she really struggled to be where she is now,cz she had to go under the knife several times.Hey am not picking on her but that's the ugly truth.Take it leave it.

    ReplyDelete
  10. Aibu vifimbo shame, shame! SHAME WEMA!

    ReplyDelete

Top Post Ad