Nay wa Mitego Ampoza Gwajima, Watu Wataka Majibu ya DNA ya Mtoto wa Flora Mbasha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Week Kadhaa zimepita sasa toka Nay wa Mitego alipotoa majibu ya DNA ya mtoto wake baada ya Utata kutokea kuwa Mtoto si wake, Majibu ya DNA yalitoka na yakaonyesha kweli mtoto ni wa Nay wa Mitego ..
Kutokana na uamuzi wa Nay wa Mitego wa kwenda kuhakikisha  kama mtoto ni wake watu wameanza kuongea chini chini kuwa lazima na Emmanuel Mbasha aende kumpima mtoto wake na Flora Mbasha kwani naye ana utata baada ya mume wa Flora kumtuhumu Askofu Gwajima kuwa anamahusiano na Mke wake na ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika.....

Je wewe unamshaurije Emmanuel Mbasha?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AFANYE MAMBO YAKE TUU HUYO FROLA ANATOMBANA NA GWAJIMA

    ReplyDelete
  2. Haaaaaaaaaaaaaaaaa mbona wazi tu ndugu unahasira...kwani ulikweko jamani..

    ReplyDelete
  3. kesha kazwa sana na vijana mbali mbali

    ReplyDelete

Top Post Ad