Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w
akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari

Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..

Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo..

Udaku Special Blog
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli ushamba mzigo. Nani alimdanganya mimba ya miezi saba unasafiri? Mana huyo ya miezi sita tu huruhusiwi. Pole yako ila naushamba nao unachangia Sasa mimba siumepatia bongo iweje ukajifungulie Marekani kwi kwi kwi kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  2. Aache uongo. Angetaka kujifungulia marekani angeenda muda kwani sizani ka ajui mjamzito mwisho miezi mingapi hasafiri. Kangoja kaona muda aliofikia hauruhusiwi ndo anajifanya anataka ili watu tujue alikua anania iyo. Kama alivosema yeye mwenyewe mastaa wanajitaftia skendo sa ndo nimeamini. Hii ya kutengeneza kabisaaaa

    ReplyDelete
  3. Ujifungulie marekani so what!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Hawa wanaojiita mastaa wanajiona kama ni binaadamu pekee waliojariwa ndio maana wanjisahau. kujifungulia Marekani ndio nini? cha kwanza hata kama angelikuwa na uwezo wa kusafiri angerudishiwa airport.MALAYA MKUBWA!!

    ReplyDelete

Top Post Ad