Ommy Dimpoz Aikana 'KICK' ya Wema Sepetu ,Adai Hawezi kuwa Mapenzini na Wema Kwasababu Anaweza Kuharibu Mambo yake ya Maana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkubwa Bongo Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amesema kuwa hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu kwa sababu anaweza kuharibu mambo yote ya maana ambayo anapanga kuyafanya.
Dimpoz aliweka wazi hayo kwa Dia wa ala za Roho na kusema kuwa Wema ni staa na ni mzuri hana tatizo lakini mazingira yanachangia awe mbali nae kwani akiweka mapenzi kutakuwa hakuna kazi.

"Unajua ukiwa na rafiki alafu mkaweka mapenzi basi patakuwa hakuna kazi zaidi ya kuharibu kazi , hata kama palikuwa na project basi mwishowe inaharibika, Nasisitiza sina uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu" Alisema Dimpoz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. amtombe tuu huyo halafu apite kule, si mama huruma huyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. mama huruam mama yako aliyekuzaa wewe bila baba maalumu

      Delete
    2. Cool down your temper halafu rudi tena class ukajifunze tena lugha yako ya Kiswahili

      Delete
    3. @ 9:42 AM,, Ni kweli Wema mama huruma kila mtu anajua hivyo,, jitombeeni tu,,nishampigia nyeto sana sina hamu nae..

      Delete
  2. na kweli,sasa ilibidi avue nguo abaki na sidiria ili nyimbo ifanye vizuri,?daah wema bwana

    ReplyDelete

Top Post Ad