RIYAMA Ampa Neno la Faraja Wema Sepetu Baada ya Kusema Hana Uwezo wa Kuzaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya hapo jana Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu kueleza kuwa anatamani sana kupata mtoto lakini hana uwezo huo,Staa mwenzake ambae ni mama wa mtoto mmoja, Riyama Ally ampa neno hili la faraja na matumani.
Naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa na umri mkubwa sana utuuzimani wema bado mdogo muda utafika inshallah mola atakupa mume mwenye kheri na wewe uzae jike na dume usiumie mama mungu hukupa akujaalialo na sio umuombalo watoto ni kudra za mola na sio jitihada za wana dama atakupa maa muda ikifika tena utapakata na utanyonyesha inshallah amin nakupenda sanaaaaaaaaaa”- Riyama ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni. mara baada ya kubandika picha ya Wema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. REALLY I CRY I CRY FOR TWO THINGS ONE I LOVE WEMA SO MUCH JAPO MIMI NI MWANAMKE KAMA YEYE ILA NAMPENDA SANA WEMA NATAMANI NIMUONE JAPO KWA KILOMETER MOJA UMBALI PILI KWA MANENO ALIYOSEMA INAUMA SANA WEMA MUNGU ATAKUPA MTOTO WA HALALI WA NDOA UKIFUNGA NDOA TU UTAZAA INSHALLAH BIIDHINI LLAH

    ReplyDelete

Top Post Ad