Shutuma za Albert Msando Kukimbia na Kutelekeza Wananchi Wake Walio Mchagua Kama Diwani Moshi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na Hili Jamii Forums....Nikaona si la Kupuuzia ..Alberto Msando Ana la Kujibu Hapa

"Akiwa kijana mdogo, msomi na mwenye mvuto wa kisiasa wakazi wa mabogini walikupa heshima ya kuwa diwani wao.

manispaa ya moshi ndio yenye madiwani wengi wa CDM kati ya nyingi nchini. Msando aliaminiwa.

Ajabu na kweli amekimbia kata, haonekani, wananchi wana hasira sana na huyu jamaa.

kama ni kukikomoa chama cha Chadema kwa kutokufanya kazi ulioomba wananchi na kukiri unaiweza basi umejimaliza mwenyewe.

Ukiwa kijana unapokwenda mbele ya wananchi uwe mkweli, wananchi huchagua mtu mara nyingi sana kabla ya chama. ndio maana hupiga kura. Kura zilipigwa na watu wote kukuchagua bila kujali itikadi ya kisiasa.

Leo umewaacha wananchi wako kama huwajui vile.

Diwani wa mabaogini Albert Msando umetia aibu kubwa sana - Mungu akuonyeshe kweli huko ulipo sasa"

Written By Chief Mkwawa- 360 degreee via JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad