AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Esmaplatnum
"ooh mungu wangu asante kwa kunipa zawadi hii tena maana hii ni zawadi nakukabizi malaika wakoumpe makuzi salama na yenye afya tele umuepushe na kila husda za walimwengu nasema asante mwenyezi mungu kwani hakuna wa kumuomba zaidi yako wee ndio mpanga na mpangua kwako hakishindikani kitu bac nakukabizi malaika wako ukamlinde baba nasema asante sikuchoka kukuomba nilalapo nisikiapo uchungu jina lako lilikuwa mdomoni kwangu umesikia maombi yangu nasema asante "
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Eti nakukabizi nyanya lini kuandika?kabidhi bwana,urudi shule,by the way hongera sana
ReplyDeleteEeehh sawasawa, kuzaa muzae na kuwalea pia mjue.
ReplyDelete