AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baadhi ya Comments
# 1: Huyu dada anajisikia sana, hajui kuwa sisi ndio tuliomfanya awe mtu, bila kuigiza nani angemjua apa mjini? Sijapenda kauli yake ata kidogo.
# 2: Najuta kabisa kwa nini nilimpigia kura, kama yeye msanii haangalii bongo movie, sasa sisi tuangalie ili iweje? Atakula jeuri yake mwaka huu, hiyo tuzo ndio ya mwisho.
# 3: Kwanza mie sionagi uigizaji wake zaidi ya kupiga kelele ovyo na kujitutumua kama anataka kukata roho, mimi simkubali huyo dada anajisikia sana.
# 4: Kuna siku nilikutana nae mlimani nikamuomba kupiga nae picha akaniambia yeye sio irene Paul nimemfananisha, ata hivyo niliomba tu kupiga nae picha kwa kuwa nilimpenda, jibu alilonipa eti mi msumbufu sana ,yeye yupo busy na mambo yake, kweli anatujibu hivyo mashabiki zake? Nilisikia aibu sana kwa kweli aliniaibisha mbele za watu,sitakaa nimpende.
# 5: Kama haangalii kazi wanazofanya wenzie atajuaje changamoto zilizopo kwenye filamu na kuzifanyia kazi? Kauli yake sio nzuri, kwa hiyo anatuona tunaoangalia kazi zao hatuna akili?
# 6: MUongo mkubwa anajishaua tu, anajifanya anafanana na angelina jolie na mishavu yake kama panya, simpendi huyo dada.
# 7: Mi namkubali sana irene paul, ila hiyo kauli sio nzuri, ata kama ni kweli aangalii ni bora anfefikiria kabla ya kuongea, by the way mi namkubali tu.
#8 : Kwanza hiyo tuzo kapewa kwa uigizaji upi? Mi sijaona anachoigiza zaidi ya kutumia nguvu kuliko akili, kama haangalii bongo movie anaigiza ili iweje? Basi akaigize ulaya
# 9: Huyu dada anajiona mzuri wakati kakomaa kama nazi, kwanza kuigiza hajui, kanichefua sana, tutakua hatuangalii movie zao tuone hizo jeuri watapatia wapi
# 10: KWa hiyo kapata tuzo ndo anajidai kuropoka? Sasa akipata oscar si ndio ataikana kabisa Kuwa yeye sio muigizaji wa Tanzania?
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hajui hata kuigiza na ni kweli anajitutumua na kiingereza chake cha kuombea maji. Ana fujo sana kwenye scene zake anazoigiza, hajui wapi atulie kila mahali anapiga makelele tu. kwa ujumla sio msanii anajitutumua tu.
ReplyDelete