Nay wa Mitego "Shamsa Ford Akitulia Namuhalalisha Kuwa Mke Wangu Kabisa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Fleva,  Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  ambaye sasa hivi wanapika na kupakua,  atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa.

Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake baada ya kutosana na mzazi mwenzake, Siwema. Nay alisema:

 “Hilo la ndoa kiukweli kabisa kama Shamsa ataonesha kutulia na kunithibitishia kuwa hatakuja kunizungua, sitaona hatari kumuoa.”

GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alitulia siwema na hakumuoa itakuwa shamsa? ndo walewale kina kiki com.

    ReplyDelete
  2. atueleze vigezo vya kutulia ha ha ha maana jamaa anapenda vya mteremko balaa atakuja kugeuzwa soon si haba

    ReplyDelete

Top Post Ad