Nimeishi Naye Ndani ya Ndoa Miaka Mitano, Jogoo Langu Halipandi Mtungi, mke Anataka Kunitosa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari wapendwa katika bwana,

Nimeishi na mke wangu kwa miaka mitano tukiwa na amani na furaha, lakini upendo ulianza kulegalega kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili pale ambapo uume wangu ulipoanza kushindwa kusimama hivyo kutokidhi mahitaji ya kindoa kwa mke wangu, nimejaribu tiba za kila aina lakini sijapata tiba.

Mke wangu ananitishia kuniacha kwani anadai haoni thamani ya mimi kuwa naye na mbaya zaidi siku hizi akienda kwa kazi anachelewa kurudi, nikimuuliza anadai mara nilikuwa semina, mara tulikuwa na kikao na bosi, kwakweli jambo hili linaniumiza sana, imefikia kipindi natamani tuachane kwani imekuwa kero kwangu, moja ugongwa nilo nao unanivuruga na pili mke wangu amekuwa mbogo, haoni tena thamani yangu kwake.

Naomba msaada wenu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisee pole Sana tuwasiliane kwenye namba hi 0764600242 nikuelekeze kwa daktari mmoja utapona kabisa Kuna ndugu yangu alikuwa Na tatizo Kama lako kapona kabisa usikate tamaa

    ReplyDelete

Top Post Ad