AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
nimeshndwa kuona correlation kati ya hiyo gari na nyumba...
ReplyDeleteHebu tupendane if you know how to speak english thanks god maana umeenda shule, mimi ni mtanzania english is my second language so if shilole speak broken English ni kawaida maana hakijui na wala wazungu hawajali broken English yetu so what kama kaogea kwa mimi nampa Big Up kwa kujaribu Never Give up Shilole, kulikua na Interview ya wanafunzi miliman university na watoto wa st Mary ungeiona hiyo si ungewa ambia hao wanafunzi wa chuo warudi shule,, maana watoto wa darasa la saba na wako bongo wanaongea kingereza fasaa, so acheni kuponda watu wasio jua kingereza wakati unajua Back ground zao kama una mpenda mtafutie English class akajifunze,,,,,
ReplyDeletemuacheni jamani loooh, kingereza hakina mwenyewe, mbona juzi Daimond aliandika broken English kwenye post yake aliyokuwa kwenye ndege na Romy, Hakuna aliyesema kitu. Wabongo mnanyodo.
ReplyDeleteAnatia mpaka na huruma. Ni kama anabwia unga vile hahahahahahahahaha..........
ReplyDeleteKwani amesemaje?I love u tanzania it's my country,I love u tanzania.so what's big deal???!!!
ReplyDeleteAhahahahah...weka basi na video ya idris wa bba akimcheka duh noumah sana
ReplyDeletesasa ulitaka asemeje basi irekodi sauti ya kwako tuisikie
ReplyDelete