Alie Msafi Kuliko WEMA SEPETU Awe wa Kwanza Kuokota JIWE na Kumpiga..Tunahitaji Mwakilisha wa Kutusemea Bungeni..WEMA Uwezo Huo Unao Sina Shaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Marehemu AMINA CHIFUPA(Mungu mrehemu)
Alipoonyesha nia ya kutaka kuwawakilisha vijana bungeni wengi wambeza sn,walimtukana sn na majina yote akaitwa lkn mwisho wa cku kila mtu aliona umuhimu wake...
Mh JOSEPH MBILINYI(mr sugu)

Alitangaza nia ya kuwawakilisha watu wa mbeya walimbeza sn,walimtukana sn na majina yote aliitwa lkn leo anaitwa rais wa mbeya...

MH VICKY KAMATA alitangaza nia ya kuwawakilisha wanawake weng walimbeza,walimtukana sn na majina yote mabaya wakamwita lkn leo wamama wanajivunia uwepo wake...
Marehemu JOHN KOMBA(Mungu mrehemu) alipotangaza nia ya kuwawakilisha watu wa kwao,weng walibeza,walimtukana na majina mabaya yote walimwita lkn mwisho wa cku watu wake walifurahi kwa uwakilishi wake..

Mh mama yetu Mch GERTRUDE RWAKATALE alitangaza nia pamoja na kuwa na kofia ya utumishi wa Mungu lkn hakuna jina mbaya hajawahi kuitwa lkn leo wana moro huwaambii kitu kwa mama huyu....

NISEME NINI BASI UNIELEWE KILICHOMO NDANI YANGU...MUNGU AKUFUNULIE UELEWE NINI NATAKA KUMAANISHA @wemasepetu.
Bungeni sio nyumba ya ibada kuwa mwakilishi wake lzm asiwe na dhambi.Watz hatuhitaji asie na dhambi kutuwakilisha bungeni.....tunayo tayari makanisa/misikiti ya kuhitaji viongozi wasio na dhambi,Hatuhitaji Wema utuonyeshe njia ya kwenda mbinguni,tunahitaji mwakilishi wa kutusemea matatizo yetu.

HAKUNA ALIE MSAFI CHINI YA JUA,SIO KWASABABU DHAMBI ZAKO UFANYAZO HAZIJAJULIKA WAZI UKAJIHESABIA WEWE NI MWENY HAKI KIASI CHA UTHUBUTU WA KUHUKUMU WENGINE.

Hivi leo Mungu aweke screen ya matendo yetu ni nani miongoni mwetu ATASIMAMA!!!??? Je waliopo bungeni ni wasafi????je hawana dhambi ?je hiyo imewaondolea sifa ya uwakilishi???? @wemasepetu tunahitaji mwakilishi wa kutusemea wanawake,wewe uwezo huo UNAO sina shaka hata chembe ktk hilo.Tuko nyuma yko mama,begakwabega nawe hadi kuapishwa @wemasepetu

ALIE MSAFI KULIKO WEMA NA AWE WA KWANZA KUOKOTA JIWE KUMPIGA

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapa kwa huyo mchungaji kuonekana ni lulu kwa wana morogoro,,thats not true speak for wat u r sure with,,,na hata huo uongozi sio chapati eti anyone can practise,,tukubali kuwa maarufu hakuna uhusiano na uwezo wa kuongoza,,,kwa sababu ni haki yake kikatiba ajaribu

    ReplyDelete
  2. Papapara papapara uleke mtoto wa kike don't jump from a frying pan into the fire watakuondoa hao siku si zako

    ReplyDelete

Top Post Ad