Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

Kweli ama si Kweli?

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona wanagombania sana kuna nini haswa tujiulize

    ReplyDelete
  2. Huo utajiri alionao, aliupate? So pesa za walipakodi zakifisadi alizoiba kwenye mikataba feki.? . kwamaana hiyo huo utajiri alionao, in utajiri wawalipata kodi.

    ReplyDelete
  3. Na yeye huo utajiri kaupataje/kivipi kwa kazi au biashara gani halali na miaka mingapi?Angalieni United States marais wao matajiri wakichukua madaraka huwa wanaangalia upande wa matajiri tu hawa wa chini/ghetto people hawana mpango nao kabisaaaa na huyo naye mkimchagua tu mtakoma ubishi wenyewe huyo jamaa ni bomu muangalieni kwa makini kwanza hiyo cheka yake imeficha kitu kibaya Nyerere alimtoaga nishai huyo shauri mzee mzima alikuwaga mtu wa machale alimshtukia kuwa huyo jamaa ni "time bomb"haya mpigieni kura achaguliwe mkione cha mtema kuni kudadeki

    ReplyDelete
  4. Nilikuwepo wakati kauli hiyo inatolewa! hakusema masikini hawafai alisema anachukia umasikini! na watu wasiutumia kama kigezo cha kupata uongozi. HATA HIVYO kauli za umasikini zinatakiwa zifike mwisho! ktunatakiwa kuwaza utajiri na sio umasikini!

    ReplyDelete
  5. Hafai hafai hafai kabisa, huo utajiri wake ameupataje? na kwa nini mpaka awe rais ndio aondoe umaskini wakati ameshashika uongozi wa nchi mara kibaoa, mbona hakuondoa umaskini? WAJINGA NDIO WALIWAO. MSIMPE KURA HUYU ATAWAUZA ILI AENDELEE KUWA TAJIRI

    ReplyDelete

Top Post Ad